Martha Jachi Umbulla (10 Novemba 1955 - 21 Januari 2021) alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020[1]. Alifariki 21 Januari 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai, India alikokuwa akipatiwa matibabu[2].