Mariamu Nassoro Kisangi (amezaliwa tarehe 8 Agosti 1962) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalumu kwa miaka 2015 – 2020. [1]