Margaret Simwanza Sitta (amezaliwa tarehe 24 Julai 1947) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Urambo kwa miaka 2015 – 2020. [1]