Makame Kassim Makame ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mwera kwa miaka 2015 – 2020. [1]