Maftaha Abdallah Nachuma ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mtwara Mjini kwa miaka 20152020. [1] Maftaha Nachuma amesoma shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Shahada ya pili ya uzamili kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania mwaka 2015.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017