Machano Othman Said ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 2015 – 2020. [1]