Luka Jelas Siyame (amezaliwa tar. 13 Mei 1951) ni mbunge wa jimbo la Mbozi Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Luka Jelas Siyame". 6 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.