Makala hii kuhusu "Lawrence Kego Masha" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Lawrence Kego Masha (amezaliwa tar. 11 Machi, 1970) alikuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Alipata kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya ndani (2006-2008), Waziri wa Mambo ya Ndani (2008-2009), Naibu Waziri wa Nishati na Madini (2006-2006). Ameuangushwa na mmoja kati ya wagombe wa CHADEMA.