Lameck Okambo Airo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Rorya kwa miaka 2015 – 2020. [1]