LL Cool J | |
---|---|
LL Cool J mnamo 2010
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | James Todd Smith |
Amezaliwa | 14 Januari 1968 Bay Shore, New York, U.S. |
Asili yake | St. Albans, Queens, New York, U.S. |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Rapper, mwigizaji, baunsa |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1983–mpaka sasa |
Studio | Violator |
Tovuti | LLCoolJ.DefJam.com |
James Todd Smith (amezaliwa tar. 14 Januari 1968) ni rapa na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama LL Cool J. LL Cool J inasimama kwa "Ladies Love Cool James".[1] Anajulikana sana kwa maballad yake ya kimahaba kama vile "I Need Love", "Around the Way Girl" na Hey Lover", vilevile kuanzisha kuanzisha hip-hop kama vile "I Can't Live Without My Radio", "I'm Bad", "The Boomin' System", na "Mama Said Knock You Out". Pia amepata kuonekana katika filamu kadha wa kadha. LL Cool J ni mmoja kati ya wasanii wachache wa hip hop wa zama zake kuweza kupata mafanikio makubwa katika zake za kurekodi kwa zaidi ya makumi mawili. Ametoa takriban albamu kumi na mbili na kompilesheni ya vibao vikali kadhaa mpaka sasa, na albamu yake ya mpya kuwa ya mwaka wa 2008,s Exit 13, ambayo ni ya mwisho kwa LL kufanya kazi na Def Jam Recordings. Kwa sasa anaishi mjini Manhasset, New York na watoto wake wa nne na mke wake.[2]
Albamu | |
---|---|
Single | "I Need a Beat" · "I Can't Live Without My Radio" · "I Can Give You More" · "Rock the Bells" · "You'll Rock" · "I'm Bad" · "I Need Love" · "Go Cut Creator Go" · "Going Back to Cali" · "I'm That Type of Guy" · "Big Ole Butt" · "One Shot at Love" · "Jingling Baby" · "To da Break of Dawn" · "The Boomin' System" · "Around the Way Girl" · "Mama Said Knock You Out" · "6 Minutes of Pleasure" · "Who's Afraid of the Big Bad Wolf?" · "Strictly Business" · "How I'm Comin'" · "Back Seat (Of My Jeep)" · "Pink Cookies In a Plastic Bag Getting Crushed By Buildings" · "Stand By Your Man" · "Hey Lover" · "Doin It" · "Loungin" · "I Shot Ya" · "Ain't Nobody" · "Hit 'Em High (The Monstars' Anthem)" · "Phenomenon" · "4, 3, 2, 1" · "Father" · "Candy" · "Zoom" · "Say What" · "Deepest Bluest" · "Hot Hot Hot" · "Shut 'Em Down · "Imagine That" · "You and Me" · "Put Your Hands Up" · "Blink Blink" · "Luv U Better" · "Paradise" · "All I Have" · "Amazin' · "Headsprung" · "Hush" · "It's LL and Santana" · "Control Myself" · "Freeze" · "Baby" |
Makala zinazohusiano | Diskografia · |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu LL Cool J kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |