Kristo Kuzimu.
Yesu akimshika mkono Adamu, mwaka 1504 hivi.
Kushukia kuzimu, mchoro wa karne ya 14 katika Petites Heures de Jean de Berry.

Kushukia kuzimu ni fundisho la imani ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo la kwamba Yesu Kristo, baada ya kufa msalabani siku ya Ijumaa kuu na kabla ya kufufuka kwa utukufu usiku wa Pasaka, alishukia kuzimu kwa nguvu ili kutoa roho za waadilifu zilizokuwa zikisubiri ukombozi kutoka kwake.[1]

Msingi katika Biblia ya Kikristo ni hasa dondoo la Waraka wa kwanza wa Mtume Petro 3:18-22 na Waraka wa Mtume Paulo kwa Waefeso 4:9[2] This near-absence in Scripture has given rise to controversy and differing interpretations.[3].

Katika karne za kwanza za Kanisa, imani hiyo inakiriwa na Kanuni ya Imani ya Mitume (Italia) na Ungamo la Imani la Atanasi (Misri). Ilifundishwa pia na Melito wa Sardi, Tertuliani, Hipoliti wa Roma, Origen, Ambrosi n.k.

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. Warren, K. M. (1910). "Harrowing of Hell". Catholic Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2013.((cite web)): CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. http://www.vatican.va/archive/ccc_css/archive/catechism/p122a5p1.htm%7C Section 631
  3. D. Bruce Lockerbie, The Apostle's Creed: Do You Really Believe It (Victor Books, Wheaton, IL) 1977:53–54, on-line text Archived 2012-07-09 at Archive.today.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kushukia kuzimu
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kushukia kuzimu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.