Kizinza ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wazinza. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kizinza imehesabiwa kuwa watu 138,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizinza iko katika kundi la E20.

Viungo vya nje

Marejeo

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizinza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.