Kiyao (au Ciyao) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania, Malawi na Msumbiji inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiyao nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Mwaka wa 2006, idadi ya wasemaji wa Kiyao nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 420,000 na nchini Msumbiji kuwa 496,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyao iko katika kundi la P20.

Viungo vya nje

Marejeo

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.