Kindengereko ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wandengereko. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kindengereko imehesabiwa kuwa watu 72,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindengereko iko katika kundi la P10.

Viungo vya nje

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindengereko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.