Kinamasi cha Machar kinapatikana Sudan Kusini [1][2].
Kinapokea maji kutoka mito Yabus, Daga na Khor Machar, halafu maji yake yanaelekea mto Naili kupitia mto Adar.
((cite web))
: Unknown parameter |=
ignored (help)
((cite book))
: Unknown parameter |=
ignored (help); Unknown parameter |deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help) page 112
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kinamasi cha Machar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |