Kiluwiluwi
|
Kiluwiluwi fundichuma
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Animalia (Wanyama)
|
Faila:
|
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli:
|
Aves (Ndege)
|
Oda:
|
Charadriiformes (Ndege kama vitwitwi)
|
Familia:
|
Charadriidae (Ndege walio na mnasaba na vitwitwi)
|
Jenasi:
|
Anarhynchus Quoy & Gaimard, 1830
Erythrogonys Gould, 1838
Peltohyas Sharpe, 1896
Vanellus Brisson, 1760
|
Spishi:
|
Angalia katiba
|
|
Kwa maana mengine tazama KiluwiluwiViluwiluwi ni ndege wa familia ndogo Vanellinae katika familia Charadriidae. Spishi hizi ni kubwa kuliko zile za familia ndoga ya Charadriinae. Huonekana mara kwa mara kando ya maji, lakini spishi nyingi huonekana pia mbali na maji hata kwa maeneo makavu. Hutaga mayai yao chini na hula wadudu hasa.
- Vanellus albiceps, Kiluwingozi Utosi-mweupe (White-headed au White-crowned Lapwing)
- Vanellus armatus, Kiluwiluwi Fundichuma (Blacksmith Lapwing)
- Vanellus coronatus, Kiluwitaji (Crowned Lapwing)
- Vanellus crassirostris, Kiluwiluwi Madole-marefu (Long-toed Lapwing)
- Vanellus gregarius, Kiluwiluwi Makundi (Sociable Lapwing)
- Vanellus leucurus, Kiluwiluwi Mkia-mweupe (White-tailed Lapwing)
- Vanellus lugubris, Kiluwijivu (Senegal au Lesser Black-winged Lapwing)
- Vanellus melanocephalus, Kiluwiluwi Kidari-madoa (Spot-breasted Lapwing)
- Vanellus melanopterus, Kiluwiluwi Mabawa-meusi (Black-winged Lapwing)
- Vanellus senegallus, Kiluwingozi (African Wattled Lapwing)
- Vanellus spinosus, Kiluwiluwi Kizibao-cheusi au Chekehua (Spur-winged Lapwing au Spur-winged Plover)
- Vanellus superciliosus, Kiluwiluwi Kidari-chekundu (Brown-chested Lapwing)
- Vanellus tectus, Kiluwiluwi Kishungi (Black-headed Lapwing)
- Vanellus vanellus, Kiluwiluwi wa Ulaya (Northern Lapwing)