Kikaguru (pia huitwa Chikagulu) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakaguru. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaguru imehesabiwa kuwa watu 241,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaguru iko katika kundi la G10.

Viungo vya nje

Marejeo

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaguru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.