Kibu Denis Prosper (alizaliwa Mbeya Desemba 4, 1998[1]). ni mchezaji wa soka wa Kitanzania ambaye anacheza kama mshambuliaji (forward) katika klabu ya Simba S.C. iliyoko Dar es Salaam.[2][1][3]
Denis alicheza katika klabu ya Mbeya City kabla ya kusaini na Simba S.C. mwezi Agosti 2021, kwa mkataba wa miaka miwili. [4]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibu Denis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |