Kialbania (kwa Kialbania shqip au kirefu gjuha shqipe) ni lugha ya pekee kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kinatumiwa na watu milioni 5 hivi hasa Ulaya Kusini.

Ni lugha rasmi nchini Albania, Masedonia Kaskazini na Kosovo.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kialbania

Albanian travel guide kutoka Wikisafiri

Kamusi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialbania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.