Kenge | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mburukenge (Varanus niloticus)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Familia 4: |
Kenge au uru ni wanyama wafananao na mamba wadogo katika familia ya juu Varanoidea. Wana mwili mwembamba, miguu mirefu na mkia mrefu.
Nusujenasi Polydaedalus
Nusujenasi Psammosaurus
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kenge kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |