Ramani ya Dola la Waajemi Waakemenidi.

Kapadokia (kwa Kigiriki: Καππαδοκία, Kappadokía) ilikuwa eneo la katikati ya rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki).

Hadi mwaka 17 BK ilikuwa huru, mji mkuu ukiwa Kaisarea ya Kapadokia.

Baadaye ilitekwa na Dola la Roma hadi Waturuki walipoiteka moja kwa moja kuanzia mwaka 1071.

Marejeo