Henri Dunant (1828-1919)

Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu ni shirika la kimataifa ambalo ofisi yake kuu iko Geneva, Uswisi. Kifupisho chake ni kwa Kiingereza ni ICRC.

Kamati ilianzishwa na Henri Dunant kwa jina Kamati ya Watano tarehe 9 Februari 1863.

Shabaha zake hasa ni kuwasaidia na kuwalinda watu wakati wa vita.

Kamati imezawadiwa Tuzo ya Nobel ya Amani mara tatu: miaka ya 1917, 1944, na 1963.

Siku hizi, kamati ni mwanachama wa Shirika za msalaba mwekundu na hilali nyekundu.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Vitabu

[hariri | hariri chanzo]

Makala

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu