Gofu la msikiti wa kale

Jumba la Mtwana ni eneo la nchini Kenya lililoko katika pwani ya bahari ya Hindi huko Mtwapa Creek, Malindi katika kaunti ya Kilifi, kaskazini kwa Mombasa.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Eneo hilo la kihistoria lina kumbukumbu za akiolojia kuanzia katika karne ya 14[1] huku vipengele vyake vikijumuisha na msikiti.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Jumba la Mtwana, the ancient Swahili stone town". Daily Nation.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

3°57′00″S 39°46′00″E / 3.95°S 39.7667°E / -3.95; 39.7667