Juma Hassan Killimbah (amezaliwa tar. 25 Novemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.