Josephat Sinkamba Kandege (amezaliwa 6 Juni 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Chama Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kalambo kwa miaka 2015 – 2020. [1]