Joseph James Mungai (24 Oktoba 1943 - 8 Novemba 2016) alikuwa mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania[1] akitokea katika chama cha CCM.

Aliwahi kuwa waziri wa elimu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Joseph James Mungai". 1 Februari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.