Jimbo Katoliki la Kahama (kwa Kilatini Dioecesis Kahamaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Tabora.
Askofu wake wa mwisho, Ludovic Minde, ALCP/OSS, alihamishiwa Moshi tarehe 2 Desemba 2019.
Eneo ni la kilometa mraba 19,946, ambapo kati ya wakazi 1,277,000 (2006) Wakatoliki ni 298,421 (23.4%).
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kahama kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |