Jeremiah Solomon Sumari (2 Machi, 1943 hadi 19 Januari, 2012) alikuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki (Akheri) katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.