Lolesia Jeremia Maselle Bukwimba (amezaliwa 24 Februari 1971) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Geita kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017