Janet Zebedayo Mbene ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ileje kwa miaka 2015 – 2020. [1]
[2]
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.