Jamal Kassim Ali (amezaliwa 14 Novemba 1984) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Magomeni kwa miaka 2015 – 2020. [1] Amechaguliwa kuwa waziri wa nchi ofisi ya rais fedha na mipango Zanzibar mnamo Novemba 2020.