Jackson Muvangila Makwetta (amezaliwa tar. 15 Juni 1943) ni mbunge wa jimbo la Njombe Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. ["Mengi kuhusu Jackson Muvangila Makwetta". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 2011-11-04. Mengi kuhusu Jackson Muvangila Makwetta]

Viungo vya nnje

[hariri | hariri chanzo]