Kata ya Ivuna | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Songwe |
Wilaya | Momba |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 26,793 |
Ivuna ni kata ya Wilaya ya Momba katika Mkoa wa Songwe, Tanzania.
Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 31,254 [1] walioishi humo.
Msimbo wa posta ni 53907.
Jina la Ivuna linajulikana kimataifa hasa kutokana na Kimondo cha Ivuna ambacho ni jiwe kubwa la kilogramu 0.7 lililoanguka hapa kwenye Disemba ya mwaka 1938, likiwa ni mfano haba sana wa vimondo vilivyoundwa kwenye anga-nje wakati wa kutokea kwa mfumo wa Jua, kwa hiyo hutazamiwa kuwa na umri mkubwa kushinda Dunia[2]
Kata za Wilaya ya Momba - Mkoa wa Songwe - Tanzania | ||
---|---|---|
Chilulumo | Chitete | Ikana | Ivuna | Kamsamba | Kapele | Mkomba | Mkulwe | Mpapa | Msangano | Myunga | Ndalambo | Nkangamo | Nzoka |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ivuna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari . Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno |