Immaculate Sware Semesi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA.
Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020.
Kwa sasa ni Mkurugenzi wa NEMC (National Environment Management Council) [1]