Historia ya Burkina Faso inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Burkina Faso.
Nchi ilianzishwa na Wafaransa kwa njia ya kugawa koloni la Cote d'Ivoire mwaka 1919. Jina la koloni jipya lilikuwa Volta ya Juu (kwa Kifaransa: Haute Volta). Jina limetokana na mto Volta unaoanzia hapa.
Kati ya miaka 1932 na 1947 eneo lake lilitawaliwa na makoloni ya jirani.
Tangu mwaka 1960 nchi ikawa huru.
Kiongozi wa nchi Thomas Sankara alibadilisha jina la nchi tarehe 4 Agosti 1984 kuwa Burkina Faso, yaani nchi ya watu waadilifu (kwa lugha ya Kimossi).
Nchi huru | Jamhuri ya Afrika ya Kati · Afrika Kusini · Algeria · Angola · Benin · Botswana · Burkina Faso · Burundi · Cabo Verde · Chad · Cote d'Ivoire · Eritrea · Eswatini · Ethiopia · Gabon · Gambia · Ghana · Guinea · Guinea-Bissau · Guinea ya Ikweta · Jibuti · Kamerun · Kenya · Komori · Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo · Jamhuri ya Kongo · Lesotho · Liberia · Libya · Madagaska · Malawi · Mali · Mauritania · Misri1 · Morisi · Moroko · Msumbiji · Namibia · Niger · Nigeria · Rwanda · São Tomé na Príncipe · Senegal · Shelisheli · Sierra Leone · Somalia · Sudan · Sudan Kusini · Tanzania · Togo · Tunisia · Uganda · Zambia · Zimbabwe |
---|---|
Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa | |
Maeneo ya Afrika ya kujitawala chini ya nchi nyingine | Visiwa vya Kanari / Ceuta / Melilla (Hispania) · Madeira (Ureno) · Mayotte / Réunion (Ufaransa) · Saint Helena (Ufalme wa Muungano) · Zanzibar (Tanzania) |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Burkina Faso kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |