S.Ẃilliams (1905).

Henry Sylvester Williams (24 Machi 186726 Machi 1911) alikuwa mwanasheria, diwani na mwandishi nchini Trinidad na Tobago. Alihusika katika kuhamasisha Muungano wa Afrika.

Maisha yake

Alizaliwa Arouca, Trinidad na alikwenda nchini Marekani kujifunza ualimu.

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Sylvester-Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.