Hamsini na sita ni namba inayoandikwa 56 kwa tarakimu za kawaida na LVI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 55 na kutangulia 57.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 7.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]

Muziki

[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. Currie, N., "Takemitsu and shakuhachi", Click Opera, Aprili 29, 2007.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamsini na sita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.