Hamidu Hassan Bobali ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Wananchi au Civic United Front CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mchinga kwa mwaka 2015 – 2020. [1]