Haji Ameir Haji (amezaliwa 17-2 1966) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Makunduchi kwa miaka 2015 – 2020. [1]