Godfrey William Mgimwa (alizaliwa 24 Agosti 1981[1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo la Kalenga kwa miaka 2015 – 2020 katika uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka 2014 [2][3].
Mgimwa alizaliwa katika mkoa wa Iringa. Ni mtoto wa aliyekuwa Waziri wa fedha, William Mgimwa.