Godfrey Weston Zambi (amezaliwa tar. 12 Juni 1962) ni mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.