Fuya Godwin Kimbita (amezaliwa tar. 7 Mei 1967) ni mbunge wa jimbo la Hai katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.