Fred Mpendazoe Tungu (amezaliwa tar. 19 Julai 1967) ni mbunge wa jimbo la Kishapu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.