Frank George Mwakajoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tunduma kwa miaka mitano ( 2015 – 2020.) [1] Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi milanzi kuanzia mwaka 1981-1988. [2]