Festus Bulugu Limbu (amezaliwa 19 Aprili, 1956) ni mbunge wa jimbo la Magu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.