Ester Amos Bulaya (amezaliwa tarehe 3 Machi 1980) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Bunda kwa miaka 2015 – 2020. [1]