Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Mvita ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni mojawapo ya Majimbo manne katika Kaunti ya Mombasa. Eneo lote la Jimbo hili iko chini ya Baraza la munisipali ya Mombasa.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988 huku mbunge wake wa kwanza akiwa Shariff Nassir.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Shariff Nassir | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Shariff Nassir | KANU | |
1997 | Shariff Nassir | KANU | |
2002 | Najib Balala | NARC | |
2007 | Najib Balala | ODM |
Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Majengo | 40,241 |
Railway | 9,527 |
Tononoka | 29,044 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Bondeni | 9,352 |
King'orani | 7,471 |
Majengo | 18,272 |
Mwembe Tayari | 11,576 |
Shimanzi | 10,134 |
Tononoka | 9,049 |
Jumla | 65,854 |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mvita kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |