Eneo bunge la Mugirango Kusini ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kisii.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa kwanza wa Kenya chini ya Mfumo wa vyama vingi vya Kisiasa mnamo 1992.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1992 | Reuben Oyondi | KANU | |
1997 | Enoch Nyakieya Magara | Ford-K | Magara aliaga dunia katika ajali ya gari mnamo 2001 [2] |
2001 | James Omingo Magara | Ford-K | Uchaguzi Mdogo |
2002 | James Omingo Magara | Ford-People | |
2007 | James Omingo Magara | ODM | Mahakama Kuuu ya Kenya ilikitangaza kiti hicho wazi mnamo Desemba 2009 due to irregularities in the election [3] |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Bogetenga | 3,590 | Nyamarambe (Mji) |
Boikanga East | 2,758 | Nyamarambe (Mji) |
Boikanga West | 2,945 | Nyamarambe (Mji) |
Bomonyara | 2,757 | Tabaka (Mji) |
Borabu | 8,119 | Gucha County |
Central / Ikoba | 3,425 | Tabaka (Mji) |
Chitago | 3,664 | Gucha County |
Getenga | 11,088 | Gucha County |
Nyachenge | 1,110 | Tabaka (Mji) |
Nyango / Kiburunga | 2,850 | Tabaka (Mji) |
Nyansore | 4,662 | Nyamarambe (Mji) |
Jumla | 46,968 | |
*Septemba 2005 [4].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mugirango Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |