Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Msambweni ni moja kati ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kwale, pwani mwa Kenya, miongoni mwa majimbo manne katika kaunti hiyo. Jimbo la Msambweni lina wodi kumi, zote zikichagua madiwani kwa baraza la Kwale County.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Kassim Bakari Mwamzandi.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Kassim Bakari Mwamzandi | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Kassim Bakari Mwamzandi | KANU | |
1997 | Mwarere Wa Mwachai | KANU | |
2002 | Abdalla Jumaa Ngozi | NARC | |
2007 | Omar Mbwana Zonga | ODM |
Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Diani | 60,565 |
Dzombo | 36,118 |
Kikoneni | 17,571 |
Kingwende/Shira | 10,656 |
Kinondo | 20,798 |
Lunga Lunga | 20,101 |
Mivumoni | 10,300 |
Msambweni | 17,104 |
Mwereni | 32,034 |
Pongwe/Kidimu | 15,104 |
Vanga | 13,744 |
Jumla | x |
*Sensa ya 1999. |
Wards | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Diani | 15,751 |
Dzombo | 7,571 |
Kasemeni / Sega | 5,665 |
Kikoneni | 4,444 |
Kingwende/Shirazi | 3,836 |
Kinondo | 6,107 |
Mivumoni / Msambweni | 9,136 |
Mwereni | 4,930 |
Pongwe/Kidimu | 5,573 |
Vanga | 4,216 |
Jumla | 67,229 |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Msambweni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |