Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Mogotio ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo sita ya Kaunti ya Baringo.
Lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1997.
Jimbo hili lina wodi 12 na zote huchagua madiwani kwa Baraza la Kaunti.
Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | William Cheruiyot Morogo | KANU | |
2002 | Joseph Kipkapto Korir | KANU | |
2007 | Hellen Sambili | UDM |
Kata | |
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Cheberen | 997 |
Emining | 3,318 |
Kakimor / Rosoga | 1,755 |
Kamar | 1,112 |
Kimng'orom / Sirwa | 2,295 |
Kisanana | 1,576 |
Koibos-Soi | 1,079 |
Lembus Kiptoim | 2,187 |
Lembus Mogotio | 4,584 |
Muguriny | 2,330 |
Ol Kokwe | 764 |
Sinende | 860 |
Jumla | 22,857 |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mogotio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |